Sera ya faragha
[RASIMU – Peter ahakiki na mwanasheria]
Sera hii inafuata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, 2022 (Personal Data Protection Act, 2022) ya Tanzania na kanuni zake.
Taarifa tunazokusanya
- Fomu ya maoni: ujumbe wako, ukurasa uliouhusu na (hiari) anwani yako ya mawasiliano. Tunahifadhi alama (hash) ya anwani ya IP kwa kuzuia matumizi mabaya, si IP yenyewe.
- Takwimu za matumizi: tunaweza kutumia chombo cha takwimu kisichotambulisha mtu binafsi. Ikiwa Google Analytics itatumika, utaombwa ridhaa kwanza.
- Matangazo: Google AdSense inaweza kutumia vidakuzi (cookies) kuonyesha matangazo. Unaweza kudhibiti ridhaa kupitia kisanduku cha ridhaa.
Tusichokusanya
Hatuombi namba za vitambulisho, nyaraka au malipo. Usituletee taarifa hizo.
Haki zako
Una haki ya kupata, kusahihisha au kufuta taarifa zako binafsi. Wasiliana nasi kupitia ukurasa wa mawasiliano.
Uhifadhi
Maoni huhifadhiwa kwenye seva iliyoko nje ya Tanzania (Azure) na hufutwa yanapotatuliwa au ndani ya miezi 12.