HudumaGuide (jina la muda)

Kanusho

[RASIMU – Peter ahakiki]

Taarifa kwenye tovuti hii ni kwa ajili ya elimu ya umma pekee. Ingawa tunajitahidi kuhakiki kila mwongozo dhidi ya vyanzo rasmi, taratibu, ada na mahitaji hubadilika. Hakikisha kila wakati na taasisi husika kabla ya kuchukua hatua.

Tovuti hii haihusiani na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala taasisi yoyote ya umma. Hatuwajibiki kwa hasara inayotokana na matumizi ya taarifa hizi.